العربية  

books رسالتي إلى طلاب العلم

If you do not find what you're looking for, you can use more accurate words.

View more

رسالتي إلى طلاب العلم (Book)


*HII NI RISALA FUPI KWAAJILI YA WANAFUNZI KHASWA NA KWA WAESLAM WOTE:*
^INAITWA: Ujumbe wangu kwa wanafunzi wa elimu.

رسالتي إلى طلاب العلم

ALIYE KUSANYA RISALA HII SI KWAMBA NI MJUZI ZAIDI, LAKINI NIMWANAFUNZI TU MDONGO SN. NDUGU YANGU MBORA :
Wewe unajua zaidi kuliko mimi ukiona kosa lolote nizindue ndugu yako mpaka nirudiye kwenye haki.
Alivyosema mtume صلى الله عليه وسلم (المؤمن مرآة أخيه المؤمن).
Muumini ni kioo cha ndugu yake muumini.