العربية  

books muhtasari mfupi wa ibada ya hija مناسك الحج السواحيلية

If you do not find what you're looking for, you can use more accurate words.

View more

MUHTASARI MFUPI WA IBADA YA HIJA (مناسك الحج-السواحيلية) (Book)


Kijitabu hiki kimeandikwa kwa ufupi sana ili kiwe rahisi kueleweka na kutekelezeka kwa kila mtu. Hii ni nukuu tuliyoichukua kutoka katika vitabu viwili: Nusuk Ibn Baz na Nusuk al-Albani (Allah awarehemu wote wawili). Kwa ajili ya ufupi zaidi, tumejitosheleza kwa kutaja masuala katika mfumo wa nukta bila kuingia ndani katika ushahidi na maandishi marefu, tukiwa tumeweka marejeo ili iwe rahisi kurejea vyanzo asili kwa yule anayetaka. Na kwa Allah pekee tunaomba msaada.